Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wa dhahabu Lolgorian kaunti ya Narok walalamikia kuhangaishwa na polisi

  • | Citizen TV
    417 views
    Duration: 1:38
    Baadhi ya wafanyibiashara wanaotegemea dhahabu kutoka Lolgorian, Transmara Kusini kule Kaunti ya Narok wamelalamikia visa vya kuhangaishwa na maafisa wa polisi mara kwa mara na kuzidisha hofu na usalama wao wanapoendelea na shughuli zao za kawaida