2 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 223 views Duration: 1:27 Serikali imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaohusika na usambazaji wa mbegu ghushi, dawa za wadudu na mbolea bandia, ikiahidi kuchukua hatua kali ikiwemo kufunga maduka yote yatakayopatikana na hatia