Skip to main content
Skip to main content

Wafanyabiashara wahofia uporaji wa mali mjini Nyeri

  • | Citizen TV
    618 views
    Duration: 1:43
    Muungano wa wafanyabiashara na wachuuzi wadogo mjini Nyeri, wataka wanachama wake, kufika katika maeneo ya biashara zao alhamisi, kama njia ya kuutumia umoja wao kuzilinda biashara hizo, kutokana na uharibifu wowote ambao waweza kutokea wakati wa maandamano. viongozi wa wafanyabiashara hao wawarai watakaotokea mjini humo kwa kumbu kumbu za wenzao waliouawawa kwenye maandamano ya Gen Z mwaka jana na mwaka 2024, kujiepusha visa vya ukiukaji sheria.