- 3,444 viewsDuration: 2:20Wafuasi wa kundi la Linda Mwananchi walijeruhiwa baada ya wahuni kuvamia msafara wao Ijumaa jioni walipokuwa wakielekea Keroka kutoka Kisii. Miongoni mwa waliokumbwa na shambulio hilo ni kinara wa chama cha United Green Movement, David Maraga, ambaye gari lake lilikuwa miongoni mwa yaliyovamiwa na wahuni hao.