Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Samburu walalamikia kuuawa kwa mifugo wakati wa operesheni ya usalama

  • | Citizen TV
    546 views
    Duration: 2:25
    Wafugaji kutoka kaunti ya Samburu wamewasilisha rasmi malalamishi kwa polisi kuhusu kuuwawa kwa mifugo yao wakati wa operesheni ya usalama katika eneo la Losesia. Naye Gavana wa kaunti hiyo Lati Lelelit ameitaka serikali kuwafidia watu hao huku akikosoa vitendo vinavyoweza kusababisha uharibifu wa mali au madhara kwa raia wasiokuwa na hatia. Maryanne Nyambura anaarifu zaidi.