- 441 viewsDuration: 2:23Watu watano waliokuwa wakipokea matibabu ya ugonjwa wa Ebola wameruhusiwa kuondoka karantini huku Wizara ya Afya ikiripoti kutolewa kwa zaidi ya watu 50 kufikia sasa. Waziri wa Afya Aden Duale pia akitangaza kuendelea kwa juhudi za mazungumzo na mataifa yaliyoiwekea Kenya vikwazo vya usafiri. Brenda Wanga anatuhabarisha zaidi.