- 408 viewsDuration: 1:46Wahitimu ishirini na saba wa mafunzo ya kiufundi na ufundi stadi kutoka Kenya wameagwa kuelekea Dubai chini ya mpango wa serikali wa kazi majuu, ambapo watafanya kazi za ufundi bomba, ufungaji wa mifumo ya umeme, na ujenzi kote katika umoja wa falme za Kiarabu.