- 12,912 viewsDuration: 43sMahakama inayoshughulikia kesi za ufisadi inatoa hukumu ya kesi inayomkabili gavana wa zamani wa Kiambu Ferdinand Waititu, mkewe na watu wengine watano. Washatkiwa walipatikana na hatia ya kupora shilingi milioni 588 pesa za umma kupitia kandarasi ya ujenzi wa barabara.