Skip to main content
Skip to main content

Wajane Migori wanaiomba serikali kulinda haki zao

  • | Citizen TV
    349 views
    Duration: 1:39
    Wajane katika Kaunti ya Migori wanaiomba serikali kulinda haki zao za kurithi mali, wakituhumu familia zao kwa unyanyasaji, uharibifu wa mali na kuingilia umiliki wa mali zilizoachwa na waume zao waliofariki.