- 233 viewsDuration: 2:05Huku dunia ikiadhimisha siku ya wajane duniani, wajane kutoka Wadi ya Marama ya Kati katika eneo bunge la Butere wameeleza wasiwasi wao kuhusu dhuluma, unyanyasaji na ubaguzi wanaokumbana nao baada ya kufiwa na waume wao. Wameitaka jamii na serikali kuchukua hatua za kuwalinda na kuhakikisha haki zao zinazingatiwa ili waweze kuishi kwa heshima na usalama.