- 424 viewsDuration: 1:15Licha ya juhudi mbalimbali zinazowekwa kupunguza changamoto zinazowakabili kina mama wajane katika jamii, wengi wao bado wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha, huku baadhi wakikosa makazi bora na kulazimika kuishi katika mazingira duni.