Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi Greatwall Gardens waandamana kulalamikia ukosefu wa maji

  • | Citizen TV
    3,828 views
    Duration: 3:09
    Wakaazi wa mtaa wa Greatwall Gardens waliandamana mchana kutwa wakilalamikia kukosa maji kwa mwezi mmoja. Wakaazi hao wanadai kutumia hadi shilingi 8,000 kwa mwezi kununua maji. Mapema asubuhi, maafisa wa Directorate of Criminal Investigations walimkamata mwakilishi wa wakaazi hao lakini wakamwachilia baadaye.