15 Sep 2026 11:08 am | Citizen TV 853 views Duration: 1:32 Wakazi wanaopakana na mbuga ya kitaifa ya chyulu huko Kibwezi kaunti ya Makueni wametakiwa kutunza mlima huo kwani unasaidia pakubwa kuimarisha mazingira kwenye eneo hilo .