1 Sep 2026 10:31 am | Citizen TV 1,177 views Duration: 2:12 Mwezi mmoja baada ya kampuni ya Tata Chemicals Magadi kusimamisha shughuli zake, wakazi wa eneo hili sasa wanakabiliwa na ukosefu wa huduma muhimu, ikiwemo maji na afya.