Skip to main content
Skip to main content

Wakazi 1,200 wapokea hati miliki za ardhi Kiembeni Mwakirunge kumaliza mzozo wa umiliki

  • | Citizen TV
    415 views
    Duration: 1:20
    Zaidi ya watu 1200 wamepokea hati miliki katika kipande.cha ardhi huko Kiembeni Mwakirunge ili kujiwezesha kuekeza katika ardhi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikikubwa na mgogoro wa umiliki.