Skip to main content
Skip to main content

Wakazi 1,500 wa Banita, Rongai waitaka serikali kuharakisha utoaji wa hati miliki za ardhi

  • | Citizen TV
    513 views
    Duration: 1:24
    Wakazi zaidi ya elfu moja Mia tano wa mradi wa makao wa Banita huko Rongai kaunti ya Nakuru wanaitaka serikali kuu kuharakisha shughuli ya kuwapa hati miliki za mashamba yao.