3 Nov 2026 10:35 am | Citizen TV 355 views Duration: 2:09 Wakazi wa Budubusi katika eneo bunge la Budalangi Kaunti ya Busia wameihimiza kampuni ya kusambaza umeme kuhakikisha kuwa usalama wa vifaa na nyaya za umeme unaimarishwa katika eneo hilo.