28 Sep 2026 1:48 pm | Citizen TV 12,246 views Duration: 2:04 Wakazi wa Kapsogeruk katika Wadi ya Litein, eneo la Bureti, wamejitolea kumjengea nyumba mkazi mwenzao Joseph Ngeno, ambaye ana watoto watatu walemavu.