- 136 viewsDuration: 3:44Wakazi wa vijiji mbalimbali vya kaunti ya Busia wamehimizwa kulinda na kutunza miundomsingi ya umeme inayojengwa maeneo hayo na katika taasisi za umma kama vile shule, vituo vya afya na masoko . Wito huu umetolewa huku visa vya wizi vya nyaya na vifaa vya umeme vikiongezeka kaunti ya Busia.