Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Kasemeni kaunti ya Kwale watishia kurejesha hatimiliki za Ardhi walizopewa na Ruto

  • | Citizen TV
    1,175 views
    Duration: 2:29
    Wakazi wa kijiji cha Kasemeni eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale, wametishia kurejesha hatimiliki za ardhi walizopewa na Rais William Ruto mwezi mwezi moja uliyopita wakidai zina hitilafu nyingi.