- 1,132 viewsDuration: 7:18Baadhi ya wakazi wa Kwa Bulo eneo bunge la Nyali wamefika katika ofisi za kaunti wakitaka mzozo wa umiliki wa ardhi kutatuliwa. Wakazi hao wanataka kuorodheshwa katika mpango wa serikali kuu ili kupokea hati miliki kama alivyoahidi Rais William Ruto wakati wa ziara yake Pwani.