29 Oct 2026 1:20 pm | Citizen TV 421 views Duration: 1:27 Baadhi ya wakazi waliofurushwa kutoka Msitu wa Maasai Mau sasa wameitaka serikali kuu kuwakamata washukiwa wanaodaiwa kufuja pesa za fidia shilingi bilioni 2.6 zilizotolewa na Rais William Ruto.