3 Nov 2026 10:37 am | Citizen TV 508 views Duration: 1:57 Wakazi wa eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kaunti hiyo kurahisisha upatikanaji wa huduma nyanjani pamoja na kuboresha miundombinu.