2 Nov 2026 1:34 pm | Citizen TV 499 views Duration: 1:52 Wakazi wa Mbuguni katika eneo bunge la Matuga kaunti ya Kwale wameitaka serikali kufanya upya usorovea wa ardhi waliyopimiwa miaka minane iliyopita ili kumaliza mzozo wa ardhi eneo hilo.