2 Nov 2026 1:13 pm | Citizen TV 993 views Duration: 2:59 Wakazi wa Mombasa wanashirikiana kusafisha mitaro ya majitaka katika juhudi za kujiandaa kwa msimu wa mvua ya elnino ili kupunguza athari za mafuriko.