9 Nov 2026 1:08 pm | Citizen TV 409 views Duration: 1:39 Wakazi, Viongozi wa serikali na maafisa wa usalama kutoka maeneo ya Kuria wamekutana na kutoa wito wa kudumisha amani baada ya tukio la wizi wa mifugo ambapo mtu mmoja aliuwawa.