4 Nov 2026 10:38 am | Citizen TV 1,704 views Duration: 1:56 Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Samburu wamekashifu kupigiwa kelele kwa Katibu mkuu wa Ugatuzi, Michael Lenasalon, wakati wa tamasha la umoja lililoandaliwa na msanii maarufu Dufla Diligon katika uwanja wa Maralal wiki jana.