Skip to main content
Skip to main content

Wakazi Samburu West wataka usalama kuimarishwa kutokana na wizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 2:40
    Wakazi wa Loborngare katika bonde la Malaso, Samburu magharibi wametoa wanataka usalama kuimarishwa eneo hilo kufuatia kuibuka upya kwa visa vya wizi wa mifugo. Baadhi ya wakazi wakisimulia upya namna walivyovamiwa na mifugo wao kuibwa.