Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Emoru waanzisha kituo cha mafunzo ya ujuzi bila malipo

  • | Citizen TV
    611 views
    Duration: 2:50
    Kutokana na hali ngumu ya maisha na uhaba wa nafasi za kazi, wakazi wa Emoru wameungana kuanzisha kituo maalum cha mafunzo ya ujuzi bila malipo. Mpango huo unalenga kuwapa wanakijiji maarifa na stadi za kujiajiri ili kuboresha maisha yao, kuongeza fursa za kiuchumi na kupunguza viwango vya umaskini katika jamii.