5 Nov 2026 1:21 pm | Citizen TV 516 views Duration: 1:37 Wakazi wa eneo la Mosoriot, Kaunti ya Nandi, wameitaka serikali kuimarisha usalama kufuatia ongezeko la visa vya uvamizi wa nyumba, uporaji na wizi, hasa nyakati za usiku.