27 Oct 2026 1:33 pm | Citizen TV 446 views Duration: 1:50 Waakazi wa Karicheni huko Kieni kaunti ya Nyeri wameidhinisha penbdekezo la ujenzi wa Kiwanda cha saruji eneo hilo kufuatia zoezi la siku tatu, la ukusanyaji maoni kuhusu ujenzi kwenye shamba linalopendekezewa ujenzi huo.