15 May 2026 1:25 pm | Citizen TV 493 views Duration: 2:35 Wahudumu wa sekta ya uchukuzi na wakazi wa kaunti ya Nyamira walalamikia ongezeko la bei ya mafuta, hali wanayosema hutatiza shughuli za uchukuzi huku abiria wakilazimika kugharamika zaidi kutokana na nyongeza ya nauli.