Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kishushe B Taita Taveta waitaka serikali kupima ardhi ili wapate hati miliki

  • | Citizen TV
    395 views
    Duration: 2:17
    Wakazi wanaoishi katika shamba la kijamii la Kishushe B eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta sasa wanaitaka serikali kupima ardhi hiyo ili waweze kupata hati miliki.