Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Matanya wapinga kutwaliwa kwa ardhi yao kujenga mfereji wa maji wa kilimo cha sukari

  • | Citizen TV
    1,421 views
    Duration: 1:35
    Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Matanya huko Galole kaunti ya Tana River wamepinga hatua ya serikali ya kutwaa sehemu ya ardhi yao kwa nia ya kufanya mfereji wa maji wa kilimo cha sukari.