30 Oct 2026 10:11 am | Citizen TV 1,698 views Duration: 1:19 Wakazi wa Mavoko huko Athi River kaunti ya Machakos , wamesalia na hofu baada ya kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wahuni kubomoa nyumba zao na kuharibu mali yao kutokana na mzozo wa ardhi.