29 Oct 2026 10:22 am | Citizen TV 386 views Duration: 1:32 Wakazi wa Mbololo eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kutaabika kufuatia ukosefu wa maji kwa zaidi ya mwaka mmoja.