- 4,079 viewsDuration: 4:03Tishio la mashambulizi ya nyani kwa Familia zinazioshi karibu na mbuga la wanyama pori la Nakuru limewasababishia mahangaiko makubwa wakazi hao huku wengi wakivamiwa na kung'atwa na wanyama hao. Wakazi hao wanalalamikia kujeruhiwa na wanyama hao huku mali ya wengine ikiharibiwa. wakazi hao wanaitaka idara ya huduma kwa wanyama pori iwajibikie suala hilo na kutafuta suluhu kando na kuwafidia waathiriwa.