Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Samburu Magharibi wataka doria kuongezwa kukabili wizi wa mifugo

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 2:48
    Wakazi wa eneo la Loborngare katika bonde la Malaso, Samburu Magharibi, wametoa wito kwa vyombo vya usalama kuimarisha doria na kutolegeza kamba katika kukabiliana na wimbi jipya la wizi wa mifugo linaloshuhudiwa eneo hilo. Wakazi hao wanasema hali ya usalama ilikuwa imeimarika baada ya hatua za awali za vikosi vya usalama, lakini sasa wanahofia kurejea kwa visa hivyo vinavyotishia maisha na uchumi wao.