- 567 viewsDuration: 3:01Wakazi wa Shella Kisiwa cha Amu wanahofia huenda ukosefu wa maji ukashuhudiwa katika Kisiwa hicho kutokana na kuendelea kuvamiwa kwa ardhi za maeneo ya chemichemi ya maji ya matuta ya mchanga wa bahari eneo hilo la Shella.Wakaazi hao aidha wamefanya maandamano wakitaka wanaofanya ujenzi katika chemichemi hiyo kukoma mara moja ili kunusuru chemichemi hiyo.