- 35 viewsDuration: 1:40Mamia ya wakazi wa kaunti ya Tana River wameathiriwa na ukame unashuhudiwa katika sehemu hiyo huku vyanzo vya maji vikikauka na kuwalazimu wakazi na mifugo kutembea mwendo mrefu kutafuta maji na lishe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive