7 Oct 2026 1:40 pm | Citizen TV 433 views Duration: 2:52 Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu wametoa wito kwa tume huru ya uchaguzi na kuratibu mipaka nchini ya IEBC, kuzidisha uhamasishaji wa kujisajili kwa wapigakura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.