- 1,788 viewsDuration: 5:10Wakazi wa mitaa ya mabanda ya Yamumbi na Langas viungani mwa jiji la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, wamesambaziwa nguvu za umeme baada ya kuhangaika kwa muda mrefu gizani. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Bonface Barasa, hatua hiyo inatarajiwa kuboresha usalama wa wenyeji katika mitaa hiyo.