15 Sep 2026 11:11 am | Citizen TV 4,357 views Duration: 2:41 Visa vya wizi wa mabavu vimeripotiwa katika maeneo kadhaa ya Nairobi. Baadhi ya wakazi wa Parklands na maeneo ya Thika Road wameeleza jinsi walivyovamiwa na kuibiwa, huku hofu ya usalama ikiendelea kuongezeka.