Skip to main content
Skip to main content

Wakenya 60 zaidi warejea kutoka Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    1,527 views
    Duration: 3:14
    Wakenya wengine 60 waliokuwa wakitoroka machafuko nchini Afrika Kusini walitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jana usiku, na kufikisha idadi ya waliorejeshwa nchini hadi 240. Wengi wao wamerejea mikono mitupu huku wengine wakiacha familia zao nchini humo kufuatia mashambulizi dhidi ya wageni. Serikali imesema itakamilisha mchakato wa kuwarejesha Wakenya wote waliokwama nchini Afrika Kusini Alhamisi wiki ijayo.