Skip to main content
Skip to main content

Wakili Abshir Ahmedsadak Abdi atekwa nyara Nairobi

  • | Citizen TV
    70,775 views
    Duration: 3:07
    Polisi wanachunguza kisa ambapo wakili mmoja hapa jijini Nairobi alitekwa nyara kwa njia tatanishi na hadi sasa hajulikani aliko. Kisa cha kutekwa nyara kwake kilinaswa kwenye kamera za CCTV zikionyesha namna alivyofuatwa, kuzuiliwa na hatimaye kutekwa na kundi la watu waliokuwa na bunduki. Wakili Abshir Ahmedsadak Abdi hajaonekana tangu siku ya Jumapili. Ode Francis anasimulia zaidi.