- 8,251 viewsDuration: 3:01Jioni ya leo, maswali yameendelea kuhusu aliko wakili Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyetekwa nyara Jumapili iliyopita. Maswali haya yakielekezwa Mahakama Kuu ya Milimani, ambako korti imeelezwa kuwa wakili Abshir amewahi kukabiliwa na mashtaka ya utekaji nyara na utapeli. Afisa msimamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi nchini (ATPU), Nairobi, Vitalis Kimtai Kibet, aliyetoa ushahidi wake, alieleza mahakama kuwa wakili huyo alikamatwa mwaka jana, ingawa hakufunguliwa mashtaka. Gatete Njoroge anaripoti.