Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Bungoma wahimizwa kutumia kilimo cha kisasa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    742 views
    Duration: 2:00
    Wakulima kaunti ya bungoma wamehimizwa kutumia mbinu za kisasa za kilimo kwa mabadiliko ya tabianchi ili kuongeza uzalishaji wa mazao na kuhakikisha chakula cha kutosha.