- 1,838 viewsDuration: 2:05Wakulima katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wamehimizwa kukumbatia kilimo cha kahawa ili kujihakikishia mapato mara dufu. Haya yamejiri katika hafla ya usambazaji miche ya mibuni kwa wakulima wanachama wa chama cha ushirika cha Kocholwo kaunti hiyo.