Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa Igembe Kaskazini walalamikia uvamizi wa mifugo mashambani

  • | Citizen TV
    259 views
    Duration: 1:34
    Wakulima katika eneo la Igembe North wamelalamikia uvamizi wa mifugo katika mashamba yao, wakisema hali hiyo imesababisha uharibifu mkubwa wa mazao ya chakula. Wakulima hao wameitaka serikali na viongozi wa eneo hilo kuingilia kati na kutafuta suluhu ya kudumu ili kulinda uzalishaji wa chakula na kuzuia migogoro kati ya wakulima na wafugaji.