Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa kahawa walalamikia mpango wa malipo

  • | Citizen TV
    499 views
    Duration: 1:55
    Wakulima wa kahawa kutoka kaunti kumi na Moja humu nchini wametishia kutoa huduma za mauzo ya kahawa kutoka soko la Nairobi (NCE) iwapo serikali itaendelea na mpango wa malipo ya Moja kwa Moja ya DSS